Product Details

UJUE UGONJWA WA PID (PELVIC INFRAMMATORY DISEASE)

1834
Views

Price

Contact Seller TZS

Quick Overview :

UJUE UGONJWA WA PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE). MAANA YA PID?????? __________________________________________ Pelvic Infalammatory Disease (PID) ni maambukizi kwenye viungo vya uzazi vya mwanamke. PID hutokea pale bakteria waenezwao kwa ngono wanaposambaa kutoka kwenye uke (vagina) hadi....

Status (New or used?):

New

Product Location:

Dar es salaam, Ilala boma

Shop/Seller's Name:

Liwaya herbal

Communications:


Share via Whatsapp

Get it on Google PlayDownload our app on Google Play

Recent Products

No preview available
Mageti ya Welding ya Aina zote

Last view

2024-05-19 03:28:55
TZS Contact Seller
No preview available
Water dispenser na blender used

Last view

2024-05-19 03:28:55
TZS Contact Seller
No preview available
DAWA YA ASILI YA KUTIBU PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)

Last view

2024-05-19 03:27:43
TZS Contact Seller
No preview available
Welding machine used

Last view

2024-05-19 03:24:45
TZS Contact Seller
No preview available
Mauwa

Last view

2024-05-19 03:24:44
TZS 4,500
No preview available
DAWA ASILI KWA MVURUGIKO WA HORMONES KWA WANAWAKE

Last view

2024-05-19 03:24:44
TZS 1
No preview available
Ramani ya vyumba vinne nice design

Last view

2024-05-19 03:24:44
TZS 200,000
No preview available
Viatu vya kike new fashion Clowsed

Last view

2024-05-19 03:21:41
TZS 30,000

Product Description

Others by Liwaya herbal

Most Viewed

UJUE UGONJWA WA PID (PELVIC INFRAMMATORY DISEASE)

The product is in good condition and conforms to both international and national standards, It is recommended to anyone looking for genuine items, further details can be obtained by contacting the user from the contact details provided above, please feel free to contact us any time for more info and products, we import our products from various well renowned countries around the world UJUE UGONJWA WA PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE). MAANA YA PID?????? __________________________________________ Pelvic Infalammatory Disease (PID) ni maambukizi kwenye viungo vya uzazi vya mwanamke. PID hutokea pale bakteria waenezwao kwa ngono wanaposambaa kutoka kwenye uke (vagina) hadi kwenye nyumba ya uzazi (uterus), mirija ya uzazi (fallopian tubes) na ovari. Dalili za PID huweza kuwa ni ngumu kueleweka. Baadhi ya wanawake hawaoni dalili zo zote. Kwa maana hiyo, unaweza usihisi cho chote hadi pale utakaposhindwa kupata ujauzito au hadi utakapoanza kupata maumivu ya kiuno. DALILI ZA PID ___________________ PID inaweza isilete dalili zo zote mbaya na ndogo zikitokea zinaweza kuwa ngumu kuzigundua. Baadhi ya wanawake hawapati dalili zo zote. Pale zinapojitokeza, zinaweza kuwa: ?? Maumivu – yanaweza kuwa madogo au makali – maeneo ya chini ya tumbo au nyonga ?? Uchafu usio wa kawaida au mzito ambao unaweza kuwa na harufu mbaya ?? Kutokwa damu kusiko kwa kawaida, hasa wakati wa tendo la ndoa, au katikati ya siku ?? Maumivu wakati wa kujamiiana ?? Homa, wakati mwingine kusikia baridi ?? Maumivu wakati wa haja ndogo, haja ndogo ya mara kwa mara au haja ndogo kutoka kwa shida. CHANZO CHA PID ___________________________________________ Kuna bakteria wa aina nyingi wanaoweza kusababisha PID, lakini maambukizi ya gonorrhea na chlamydia ndiyo yanayoonekana zaidi. Bakteria hao huambukiza wakati tendo la ndoa linapofanyika bila ya kutumia kinga. NJIA YA KUSAMBAA KWA PID ________________________________ Aghalabu, bakteria hawa huingia kwenye viungo ya uzazi vya mwanamke pale ulinzi wa kwenye shingo ya kizazi (cervix) unapovurugwa. Hii inaweza kutokea mathalani, wakati wa hedhi na baada ya kuzaa, mimba kuharibika au kutoa mimba. Mara chache bakteria huweza kujipenyeza wakati kifaa cho chote cha tiba kinapoingizwa kwenye nyumba ya uzazi. MAZINGIRA HATARISHI YA KUPATA PID ________________________________________________ Kuna vipengele ambavyo huweza kukuweka kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata PID, navyo ni: . Kuwa mwanamke uliye chini ya miaka 25 unayeshiriki ngono . Kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja . Kuwa na mahusiano na mpenzi mwenye wapenzi zaidi ya mmoja . Kufanya mapenzi bila kinga . Kujisafisha na maji mara kwa mara . Kuwa uliwahi kupata PID kabla au magonjwa mengine ya ngono MADHARA YATOKANAYO NA PID ___________________________________________ PID ambayo haikupata tiba inaweza kusababisha makovu na vifuko vyenye maji yenye wadudu kwenye mkondo wa njia ya uzazi ya mwanamke. Vitu hivi vinaweza kusababisha madhara ya kudumu kwenye viungo vya uzazi. Madhara yanayoweza kutokea ni pamoja na: ?? Mimba nje ya mirija (ectopic pregnancy). PID ndiyo sababu kubwa ya mimba kutunga nje ya kizazi. Mimba huweza kutunga nje ya kizazi endapo PID imesababisha makovu ndani ya mirija ya uzazi. Makovu haya husababisha yai lililopevushwa kushindwa kusafiri ndani ya mirija ya uzazi kuelekea kwenye nyumba ya uzazi. Badala yake yai hunata ndani ya mirija ya uzazi . Mimba nje ya kizazi husababisha utokaji wa damu usio wa kawaida unaoweza kukatisha maisha ya mwanamke. ?? Ugumba. Uharibifu wa viungo vya uzazi huweza kusababisha ugumba – kushindwa kupata ujauzito. Kadiri unavyozidi kupata PID mara nyingi zaidi, ndivyo hatari ya ugumba inavyozidi. Kuchelewa kupata tiba ya PID kunaongeza hatari ya ugumba. ?? Maumivu sugu ya nyonga. PID inaweza kusababisha maumivu ya nyonga yanayoweza kudumu kwa miaka mingi. Makovu ndani ya mirija ya uzazi na viungo vingine vya uzazi huweza kuleta maumivu wakati wa kujamiiana na wakati yai linadodondoshwa (ovulation). ?? Tubo-ovarian abscess. PID huweza kusababisha kutunga kwa usaha na kufanya majipu ndani ya njia ya uzazi. Mara nyingi majibu haya hutokea ndani ya mirija ya uzazi na ovari, ingawa huweza kuota ndani ya nyumba ya uzazi na shingo ya kizazi. Kama tiba haitatolewa, unaweza kupata maambukizi hatarishi kwa maisha. Tiba Ya PID Tiba ya mara moja kwa kutumia dawa itaondoa maambukizi yaliyosababisha PID. Lakini, hakuna njia ya kukarabati makovu au uharibifu kwenye njia ya viungo vya uzazi uliotokana na PID. Tiba ya PID yaweza kuwa: ?? Antibiotics. Daktari atakuandikia dawa inayoendana na chanzo cha tatizo lako. Utasubiri siku kama tatu kuona kama dawa ulizopewa zinafanya kazi. ?? Kumtibu Mwezi wako. Kuzuia maambukizi, yafaa mwezi wako afanyiwe uchunguzi na atibiwe. - Kuacha kushiriki ngono kwa muda. Acha kushiriki ngono hadi utakapomaliza tiba na kuona kuwa umepona. U R O G E T I X 5 ____________________ Ni dawa asilia yenye uwezo mkubwa wa kutibu maambukizi katika njia ya mkojo na maambukizi katika via vya Uzazi.Dawa hii ni tiba ya Uhakika na ya haraka kwa matatizo yafuatayo:???????? ?? Maambukizi katika via vya Uzazi (Pelvic inflammatory disease)-- *PID* ?? Kutokwa na Uchafu sehemu ya siri ya Mwanamke-- *Vaginal discharge.* ?? Kisonono-- *Ghonorrhea* ?? Kaswende-- *Syphilis* ?? Maambukizi katika njia ya Mkojo (Urinary Track Infections)-- *UTI* Dr Liwaya Tiba Asilia Tanzania +255755162724 +255717541527 muhammadliwaya@gmail.com

This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all

  • Superb quality products
  • Genuine items
  • Affordable prices
  • Instant response
  • One stop center for all
  • Guarantee
  • Latest items fashion and releases

This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all

We look forward to serving you as a king! Please drop your reviews for the site and the product you have purchased from the site; we intend to make this site the best and a one stop center for all and for everything someone is looking for; any troubles of fraud you have encontered please report them to us direclty using Mail Us link so that we can act on it quickly than if they are post in this thread

Add Reviews

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Your Rating

Similar products

Brand New

SALE

Laptop Acer Aspire R11
1 Remaining

TZS 650,000

Details

Brand New

SALE

Saa Ya mkononi (Wrist
20 Remaining

TZS 25,000

Details

New

SALE

Samsung J106 mini pro
12 Remaining

TZS 130,000

Details

New

SALE

Samsung galaxy j110
10 Remaining

TZS 168,000

Details

New

SALE

Samsung galaxy j200
7 Remaining

TZS 200,000

Details

New

SALE

Samsung Galaxy 385
11 Remaining

TZS 235,000

Details

New

SALE

Laptop HP probook
1 Remaining

TZS 750,000

Details

New

SALE

Laptop Sony VAIO Core
1 Remaining

TZS 800,000

Details

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

+ Tangaza bidhaa

© 2024 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili